Viwanja vinauzwa Mkundi, Morogoro
VIWANJA MOROGORO MKUNDI
✅Mradi huu unapatikana upande wa kulia njia ya kuelekea Dodoma.
✅Mradi huu unapatikana umbali wa mita 500 kutoka barabarani.
✅Mradi huu una ukubwa wa viwanja vya kuanzia sqm 507 mpaka 601.
✅Mradi huu unauzwa kwa bei ya Tsh 17,000/= kwa sqm.
✅Mteja ataanza na asilimia 50 na kiasi kinachobaki kitalipwa ndani ya miezi 3 mpaka 6.
♦️Wasiliana nasi kupitia 0747-607777
KARIBUNI SANA