Viwanja vinauzwa Msaada, Dodoma


📌SWALI KUTOKA KWA MDAU INBOX AKIHITAJI MSAADA KWENYE SUALA LA ARDHI
👉🏾 Kupitia Swali La Mdau Hapo, Watu Wengi Wamejikuta Wakiingia Kwenye Hii Changamoto Na Mwishowe Kutojua Nini Cha Kufanya Na Wengi Wameishia Kuingia Kwenye Migogoro Ya Ardhi
👉🏾 Ivo Basi Nini Kifanyike Ili Uweze Kupata Hati Mpya, Baada Ya Kununua Kipande Cha Eneo Ambalo Tayari Lina Hati Miliki?
1. Unatakiwa Ufanye OFFICIAL SEARCH Kupitia Wizara Ya Ardhi, Ili Uweze Kupata Taarifa Kuwa Hati Ya Eneo Husika Inaweza Kufutwa Ili Uweze Kupata Hati Mpya, Yaani Haidaiwi Kodi Ya Ardhi, Haijakopewa n.k
2. Ufanye Marekebisho Ya Ramani Ya Mipango Miji, Ili Iweze Kuendana Na Mgawanyo Mpya Wa Viwanja
3. Kuandika Barua Ya Kufuta Hati Miliki, Hati Ikifutwa Ni Kuandika Tena Barua Ya Kufuta Upimaji
4. Kurudia Kufanya Upimaji Upya, Na Baada Ya Upimaji Kukamilika Ni Kufuatilia Hati Upya
NOTE; Muhimu Sana Kushirikisha Wataalamu Kwenye Ununuzi Wowote Wa Ardhi, Ili Kujiepusha Na Migogoro Ambayo Sio Ya Lazima
🔥🔥🔥 Kikubwa Zaidi Tuna Mradi Mpya Wa Viwanja Wa Bei Raisi Pale Kiluvya-Makurunge Ambapo Unapata Kiwanja Kuanzia 2,000,000/=, Changamkia Fursa Hii Isikupite
Contact;
Call/WhattsApp 0713778937
surveyor_aloyce surveyor_aloyce
surveyor_aloyce surveyor_aloyce
OFISI ZETU ZIPO SHEKILANGO
NYUMA YA HOTEL YA ROMBO GREEN VIEW
SITE VISITTING JUMAMOSI HII.
Kwa Furniture Nzuri Follow aloyce_furnitures
Kwa Ramani Na Ujenzi Follow aloyce_builders
#luxury #realator #luxuryrealestate #interior #homedesign #homesweethome #housegoals #realestateagent #luxurylifestyle #newhome #luxuryhome #househunting #property #housedesign #dreamhome #forsale #luxuryhouse #newconstruction #decor
#upimajiardhi #viwanja #viwanjatz #viwanjakigamboni #viwanjadodoma #viwanjakibaha #hatimiliki #surveylife #landsurveyorlife #surveying #surveyors