Viwanja vinauzwa Msalato, Dodoma
Hii kwako mwekezaji, wekeza eneo la ukubwa wa Sqm 13,000 (heka 3.5) lipo kwenye eneo la barabara za mzunguko Kutokea mji wa kiserikali kueleka mpaka msalato airport
Uwekezaji wa Kituo cha Mafuta (Sheli)
Sifa za viwanja hivi
✅ Kiwanja kina hati ya kituo cha mafuta
✅ Barabara hii inaunganisha barabara zote zinazoingia Dodoma kuelekea mji wa serikali, bandari kavu na new airport
✅Panafaa kwa uwekezaji
✅Huduma za kijamii kama Maji na umeme yapo
✅Vipo karibu na inapojengwa Airport
✅Bei ni Milion 200
Changamkia fursa hii, usafiri wa kwenda na kurudi site ni bure kabisa. Tembelea ofisi zetu zilizopo karibu na Chama cha Biblia au piga simu 0767 865 054 au 0655 591 155