Viwanja vinauzwa Msalato, Dodoma
Mradi wa Viwanja vya Makazi Msalato KITELELA AIRPORT
Eneo la Kitelela ni eneo la Kimkakati hapa Dodoma , ni eneo zuri , tambarare na limepangika haswa
Eneo hili limezungukwa na Barabara ya Mzunguko yaani Ring Road ( Hapa Magari makubwa , ya mizigo na abiria yote yatapita hapa)
Ni jirani na AirPort Ya Kimataifa, ni jirani na eneo la Chuo tarajiwa cha NIT
NI jirani na Mji wa serikali na Pia kilomita chache kutoka Nanenane Nzuguni Bus stand
Wahi kiwanja hapa kwa Tsh 3.5M tu na malipo kwa awamu
Call: 0712376898/078661104