Viwanja vinauzwa Msalato, Dodoma
Hapa kuna fursa nyingi sana nakutajia vitu Vikubwa vilivyo hapa wewe utaamua kuwekeza au kuto kuwekeza
Hapa kuna Barabara kubwa ya mzunguko Dodoma yani ring road ni barabara itakayo unganisha Barabara zote kuu za Dodoma
Lakini ni barabara itakayo pitisha gari zote za mizigo pia itapitisha magari madogo madogo ya endayo mikoani na sehemu mbali mbali ndani ya jiji la Dodom
Lakini Barabara hii yenye upana wa mt 150 itapitisha gari zote za abiria ziendazo mikoani na viunga vyote vya Dodoma
Faida nyingine kubwa ni eneo lilipo km 1 kutoka uwanja wa kimataifa wa ndege yani international airport MSALATO
Faida nyingi kubwa na ya mwisho eneo hili ni km 3 tuu kutoka mji wa SERIKALI MTUMBA
Pia ni karibu na mji mpya wa mfano wa MSALATO ,
hizi ni faida chache zinazo patikana eneo hili , kazi yangu ni kukumbusha umuhimu wa kuwekeza Dodoma tuu 🙏🏻
Bei ya viwanja vya BIASHARA kwa sqm 1 = 20000
Bei ya viwanja vya makazi na BIASHARA kuwa Sqm 1 = 15000/
Bei ya viwanja vya makazi kwa sqm 1= 4500/
SANUKA MAPEMA