Viwanja vinauzwa Msalato, Dodoma

 media -1
media -1
Sh. 20,000
Project
Yes

Hapa kuna fursa nyingi sana nakutajia vitu Vikubwa vilivyo hapa wewe utaamua kuwekeza au kuto kuwekeza

Hapa kuna Barabara kubwa ya mzunguko Dodoma yani ring road ni barabara itakayo unganisha Barabara zote kuu za Dodoma

Lakini ni barabara itakayo pitisha gari zote za mizigo pia itapitisha magari madogo madogo ya endayo mikoani na sehemu mbali mbali ndani ya jiji la Dodom

Lakini Barabara hii yenye upana wa mt 150 itapitisha gari zote za abiria ziendazo mikoani na viunga vyote vya Dodoma

Faida nyingine kubwa ni eneo lilipo km 1 kutoka uwanja wa kimataifa wa ndege yani international airport MSALATO

Faida nyingi kubwa na ya mwisho eneo hili ni km 3 tuu kutoka mji wa SERIKALI MTUMBA

Pia ni karibu na mji mpya wa mfano wa MSALATO ,

hizi ni faida chache zinazo patikana eneo hili , kazi yangu ni kukumbusha umuhimu wa kuwekeza Dodoma tuu 🙏🏻

Bei ya viwanja vya BIASHARA kwa sqm 1 = 20000

Bei ya viwanja vya makazi na BIASHARA kuwa Sqm 1 = 15000/

Bei ya viwanja vya makazi kwa sqm 1= 4500/

SANUKA MAPEMA

viwanja +nyumba  dodoma
luck_real_estates_dodoma
viwanja +nyumba dodoma

Similar items by location

Kiwanja kinauzwa Msalato, Dodoma

Sh. 12,000,000

KIWANJA KIZURI SANA ____________________________MAHALI —KITELELA MSALATO___________________________U...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Msalato, Dodoma

Sh. 65,000,000

NYUMBA INAUZWA MSALATO JIJINI DODOMAIna vyumba vitatuMaste bedroom Sebule, Dinning Jiko, StorePublic...

Kiwanja kinauzwa Msalato, Dodoma

Sh. 4,300,000

Nauza kiwanja KITELELA MSALATO ▪️square meter 1000▪️2km lami ya ringroad ▪️ document hati▪️ Bei. 4.3...

Kiwanja kinauzwa Msalato, Dodoma

Sh. 150,000,000

KIWANJA KIMEGUSA LAMI_______________________MAHALI-MSALATO (ARUSHA ROAD)JIRANI NA AIRPORT(UWANJA WA ...

Kiwanja kinauzwa Msalato, Dodoma

Sh. 150,000,000

KIWANJA KIMEGUSA LAMI_______________________MAHALI-MSALATO (ARUSHA ROAD)JIRANI NA AIRPORT(UWANJA WA ...

Kiwanja kinauzwa Msalato, Dodoma

Sh. 3,800,000

KIWANJA CHA TANO LAMI KINAUZWA KITELELA MSALATO JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 843 sq.mCha tano lamiKip...

Kiwanja kinauzwa Msalato, Dodoma

Sh. 3,500,000

*NAUZA KIWANJA KITELELA MSALATO*👉square meter 843👉Cha 5 lami👉document hati👉Bei 3.5m

Kiwanja kinauzwa Msalato, Dodoma

Sh. 10,500,000

KIWANJA KINAUZWA MSALATO KWA MKUU WILAYA JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 1,000 sq.mMaji/Umeme upoEneo li...

Kiwanja kinauzwa Msalato, Dodoma

Sh. 4,500,000

Nauza kiwanja KITELELA MSALATO 👉square meter 1000👉1km lami ya ringroad 👉 document hati👉 Bei. 4.5...

Viwanja vinauzwa Msalato, Dodoma
  • Project

Sh. 12,000,000

VIWANJA MSALATO INTERNATIONAL AIRPORT ______________________NUNUNA LEO-KWAJILI YA KESHO YAKOBEI ZAKE...

Kiwanja kinauzwa Msalato, Dodoma

Sh. 75,000,000

KIWANJA KIMEGUSA LAMI____________________MAHALI-MPAMAA YA MWANZOIKO BARABARA YA LAMI IENDAYO MSALATO...

Kiwanja kinauzwa Msalato, Dodoma

Sh. 75,000,000

KIWANJA KIMEGUSA LAMI____________________MAHALI-MPAMAA YA MWANZOIKO BARABARA YA LAMI IENDAYO MSALATO...

Viwanja vinauzwa Msalato, Dodoma
  • Project

Sh. 12,000,000

VIWANJA VIWANJA VINAUZWAMSALATO JIRANI INTERNATIONAL AIRPORT ___________________________MAHALI-MSALA...

Kiwanja kinauzwa Msalato, Dodoma

Sh. 75,000,000

KIWANJA KIMEGUSA LAMI____________________MAHALI-MPAMAA YA MWANZOIKO BARABARA YA LAMI IENDAYO MSALATO...

Kiwanja kinauzwa Msalato, Dodoma

Sh. 75,000,000

KIWANJA KIMEGUSA LAMI____________________MAHALI-MPAMAA YA MWANZOIKO BARABARA YA LAMI IENDAYO MSALATO...

Kiwanja kinauzwa Msalato, Dodoma

Sh. 5,000,000

Plot no 310SQM 1029Msalato international airport Dodoma 🔥 Lipia sasa 5M (OFA )Tupigie simu sasa

Viwanja vinauzwa Msalato, Dodoma
  • Project

Sh. 12,000,000

VIWANJA VIWANJA VINAUZWAMSALATO JIRANI INTERNATIONAL AIRPORT ___________________________MAHALI-MSALA...

Kiwanja kinauzwa Msalato, Dodoma

Sh. 18,000,000

KIWANJA KIZURI KINAUZWAMPAMAA(JIRANI NA INTERNATIONAL AIRPORT)______________________MAHALI-MPAMAALAM...

Viwanja vinauzwa Msalato, Dodoma
  • Project

Sh. 12,000,000

VIWANJA VIWANJA VINAUZWAMSALATO JIRANI INTERNATIONAL AIRPORT ___________________________MAHALI-MSALA...

Kiwanja kinauzwa Msalato, Dodoma

Sh. 300,000,000

KIWANJA CHA KUWEKEZA DODOMASqm 5700Arusha road, Msalato Matumizi: CommercialBei: 300 mTuwasiliane za...