Viwanja vinauzwa Msangani, Pwani
MRADI MPYA MSANGANI MWISHO, NUNUA KIWANJA CHA NDOTO YAKO kutoka malengoproperty .
TUPIGIE 0717 589 589
Miradi yetu ni Tambalale na Barabara zinafika Hadi site. Hudumu zifuatazo zipo;
Maji yapo✓
Umeme upo✓
Shule zipo✓
Barabara zipo✓
Huduma za Afya zipo✓
Ukubwa wa viwanja vyetu ni SQM 400 Hadi SQM 800, GHARAMA ni kuanzia 2,000,000/= Tsh.
MALIPO NI;
#CASH
#INSTALMENT (utaanza na nusu kisha utapewa miezi 4-5).
Ukimaliza malipo unaweza kuanza ujenzi kabisa, viwanja vimepimwa na hati utapata baada ya kumaliza malipo.
Kibaha ukitaka kujenga na mchanga unapata hapo hapo hasa unaanzaje kukosa kiwanja Safi Kama hicho✓ Twende zetu site ukajionee viwanja vizuri mno,,
OFSI YETU IPO UBUNGO RIVERSIDE opposite na LANDMARK HOTEL.