Viwanja vinauzwa Mtumba, Dodoma


*NAUZA KIWANJA HIKI*
*_SIFA ZA KIWANJA_*
•plot size ni 597sqm
•kimepimwa
•full docoment
•meter chache kutoka ring road (150meter tuu)
•kiwanja kipo karibu sana
°UDOM
°BMH
°PETROL STATION
°HOTEL SITE
°LORRY PARKING
°SHULE
•15km kwenda mtumba
•18km kwenda mjini
•site pazuri sana
*BEI NI 4.8ML TUUU*
*UNAWEZA LIPIA CASH/INSTALMENT UKAANZA NA 2.5ML INAYOBAKI UKALIPA NDANI YA MIEZI MIWILI*
Karibu sana mbilinyi viwanja dodoma kwa viwanja vya bei nafuu, vizuri,na vilivo sehemu potential