Viwanja vinauzwa Mtumba, Dodoma
Nauza viwanja viwili vimengana block ZB mtumba
-viwanja vinajumla ya sqm 900 kwa pamoja
-viko jiran na huduma zote za kijamii (maji,umeme)
-viko 1KM kutoka barabara kuu ya Dodoma-Morogoro
-viwanja vina nyaraka za awali ambazo nirahis kuelekea hatua za hati (survey form)
-Bei ni Milion 13. vyote kwa pamoja