Viwanja vinauzwa Mwananyamala, Dar Es Salaam


Jamni eeeeh,mabosi zangu mwendo niuleule kwa Tsh.67,000 tu kila mwezi unamiliki kiwanja
Kaa kijanja na wewe usibaki nyuma maana ikikupita hii, ni kama umepishana na gari la mshahara vileπ―π
Mradi upo Chalinze-Pingo
-Ni km 4 tu kutoka barabara kuu hadi kufika kwenye mradi
-Bei ya sqm ni Tsh.2,000 tu
-Bei ya kiwanja cha sqm 400 ni Tsh.800,000 tu
-Utalipia kidogo kidgo Tsh.67,000 kila mwezi kwa muda wa miezi 12
-Malipo ya cash tunakupa punguzo la bei kwa 100%
Mradi huu ni handsome sana jamani yani nitambalala mpaka Raha π₯π₯
-Viwanja vimepimwa na Ramani ziko Approved kutoka halmashauri
-Unapo nunua kiwanja kwetu utapata na hati yako kwa 100% (Hati ya wizara)
-Mradi huu umepakana na kiwanda cha tiles cha Twyford kilichopo chalinze
Ukubwa wa viwanja unaanzia sqm 400 hadi Sqm 4040
NB:kila jumamosi ni siku ya kwenda site, chakufanya wasiliana nasi ilikuweza kuweka booking ya safari yako
Mapema.
Tupigie No. βοΈ 0 699 543 621
Ofisi zetu zinapatikana Mwananyamala