Viwanja vinauzwa Nala, Dodoma (530 sqm)







Aina
Kiwanja
Ukubwa
530 SQM
Barabara ya Karibu
150m — Barabara kuu ya kuelekea Singida
Awali
Inaruhusiwa
Sifa
Maelezo
👉DODOMA NALA NYUMA YA MIZANI MRADI UPO
📍MITA 150 KUTOKA BARABARA KUU ya kuelekea SINGIDA
📍KM 8 kutoka dodoma mjini
Majirani ni wakishua sana na tayr kuna mteja wetu kajenga apartments za kupangisha
👉sqm 1 cash 20,000tsh
Na installment 23,000 tsh
🚨viwanja vinaanzia sqm 530 kwenda juu
DODOMA MJI WA KISASA UNAKUA KWA KASI WAHI KIWANJA SASA




















