Viwanja vinauzwa Nala, Dodoma
Vipo viwanja sita eneo la nala chihoniii
Viwanja hivi vipo km 3 kutoka barabara ya singida
Viwanja vipo jiran na umeme na maji
Viwanja vimepimwa na vip eneo tambalale saaana
Viwanja vina ukubwa tofaut tofaut kama vile
M² 1100...bei mil 3.5
M² 700...bei mil 2.5
M² 650....bei mil 2
Mawasiliano kupata kiwanja ukipendacho
Piga...0754827637