Viwanja vinauzwa Nala, Dodoma


Viwanja vipo eneo la chuo cha St. John's lililopo *NALA* na vinamilikiwa kibinafsi. Kiwanja namba 24 ukubwa 2073sqm bei 30m na
kiwanja namba 24 ukubwa 3,423sqm bei 45m
vimegusa lami ya kwenda kwenye kiwanda cha mbolea
1km kutoka singida road
Nyuma yake kuna viwanja vya chuo cha SAUTI,IFM n.k