Viwanja vinauzwa Nala, Dodoma
DODOMA NALA CHIHONI🔥🔥
✅Mradi huu unapatikana barabara ya Singida.
✅Ni mradi wenye mazingira mazuri sana na unapatikana kilomita 9 tu
kutoka barabarani
✅Huduma za kijamii kama Umeme vipo karibu na mradi
✅Barabara za mtaa kwenye mradi huu zimechongwa vizuri.
✅Mradi huu unauzwa kwa bei ya 8,000/= tu kwa sqm
☑️Malipo ya mradi huu yanafanyika ndani ya mwaka mmoja kwa kuanza na30% na 70% kulipwa ndani ya miezi 12.
🔺WASILIANA NASI KUPITIA 0747607777
KARIBUNI SANA.