Viwanja vinauzwa Nala, Dodoma
MRADI WA VIWANJA DODOMA, NALA GOLDEN PROJECT.
⏭️ SIFA ZA MRADI
▪️Meter 100 Kutoka Mainroad
▪️Huduma zote za kijamii zipo {Maji, Umeme, Shule}
▪️ Makazi ya watu yapo
📌 Mradi Ni Very Potential Na Very Ideal Place too.
⏭️ BEI YA OFFER
💰 CASH TSH 20,000/SQM
MFANO; SQM 450
450 x 20,000 =9,000,000/= Ambayo Unaweza Kuilipa Kwa Miezi 3 Kila Mwezi Tsh 3,000,000/=
💰 INSTALLMENT TSH 23,000/SQM
MFANO; SQM 450
450 x 23,000 =10,350,000/=
-Ambayo Utaanza na Down Payment Ya 20%, Tsh 2,070,000/=
Na 80% Itakayobaki Tsh 8,280,000/= Utalipa Kidogo Kidogo Kwa Miezi 12 Kila Mwezi Tsh 690,000/=
⏭️Siku Zetu za kutembelea site ni.
▪️ Jumatano
▪️ Jumamosi
▪️ Jumapili
⏭️ Office zetu zinapatikana Makumbusho Mwanga tower, Ghorofa ya 12.
⏭️ Kwa Dodoma Tupo Nyerere Square, Imarika Building Ghorofa ya kwanza.
REJAA REAL ESTATE #WeHelpYouInvest #WeAreYourRealEstateExperts 🔥