Viwanja vinauzwa Ntyuka, Dodoma


🔥 KIWANJA KINAPATIKANA CHIDACHI NTYUKA – KARIBU NA SGR DODOMA MJINI🔥
Unatafuta kiwanja sehemu iliyojengeka na yenye uhakika?
Kiwanja cha sqm 542 kinapatikana – kina HATI!
✅ Bei: Mil 13.5
✅ Malipo: Cash au kwa Awamu
✅ Miundombinu kamili: Maji, Umeme & Barabara
✅Km 5 kutoka Dodoma mjini
✅ Eneo limejengeka – majirani wapo
✅ Karibu sana na SGR
🏡 Unajenga leo, unahamia leo!
Wahi sasa — viwanja ni vichache!
📞0768 333 054
NB:Kwenda site kuona viwanja ni bure na kila siku
#viwanjadodoma #realestatedodoma #viwanjavizuri #wekezanaardhi #


















