Viwanja vinauzwa Ntyuka, Dodoma



📢 VIWANJA VYA KISASA NGHONG’ONHA - DODOMA MJINI! 🏞️
Fursa ya kipekee kumiliki kiwanja kilicho kwenye eneo linalokua kwa kasi!
📍 Mahali: Nghong’onha (Karibu na UDOM)
🛣️ Km 9 kutoka katikati ya Jiji la Dodoma
🚉 Km 6 kutoka kituo cha SGR
🏫 Jirani na Chuo Kikuu cha UDOM
🌍 Vimepakana na Ntyuka
🧱 Viwanja vimepimwa
🏡 Vinafaa kwa makazi bora au uwekezaji wa biashara
💳 Malipo rahisi: Cash au kwa awamu
📌Bei kuanzia mil 3
🚘 Ziara ya kuona site ni bure kabisa!
📞 Mawasiliano : 0768 333 054