Viwanja vinauzwa Nzuguni, Dodoma


VIWANJA VILIVYOPO KWENYE MRADI WETU WA MAHOMANYIKA - NZUGUNI
MAHOMANYIKA NI 3 KM TU KUTOKA MJI WA SERIKALI/ MTUMBA
VIWANJA VIPO 1KM KUTOKA BARABARA KUU YA MZUNGUKO ( RING ROAD)
VIWANJA VIPO 3KM KUTOKA MSALATO INTERNATIONAL AIRPORTβοΈ
UKUBWA WA VIWANJA
SQM - 757
SQM- 757
SQM- 758
SQM- 770
SQM- 703
BEI π 5000 ( ELFU TANO KWA SQM @ 1)
HAPA UTALIPA NUSU YA BEI HALAFU UTAMALIZA NDANI YA MUDA WA MIEZI MITATU UTALIPA TARATIBU
NOTEβ
πΈ - UKIJA NA 12,500,000 MILLIONI TU CASH NAKUPA NAKUPA HIVI VIWANJA VYOTE VITANO KWA OFFER
VIWANJA VILIVYOPINGWAβ VIMESHAUZWA
PIGASIMU
0757216351
0716459730
WEKEZA DODOMA
OFFER UKIJA NA CASH