Viwanja vinauzwa Salama, Mara


๐ก NJOO UWE SEHEMU YA MABADILIKO!
โจHuu ndio wakati wako wa kuchukua hatua ya kuanza safari ya uwekezaji kwenye ardhi salama, halali, na yenye hati. Kila kiwanja ni fursa mpya, ni mwanzo wa maisha bora na biashara yenye tija.
๐ฟ Tunakuleta miradi yenye thamani, iliyopimwa na kupangwa vizuri kwa ajili ya mahitaji ya kuanzisha makazi ya kudumu na familiya yako. โจ Kwa nini kungoja kesho wakati unaweza kuanza leo?
Chukua hatua sasa, omba kiwanja chako, na tukusaidie kwenye safari ya umiliki wa ardhi. Hakuna kitu kinachoweza kulinganishwa na hisia ya kumiliki ardhi yako mwenyewe.
๐ Wasiliana nasi leo kupata kiwanja chako kabla havijaisha!
๐ฃ๏ธ Njia ya mafanikio inaanza na hatua moja โ anza leo.
๐MRADI BUYUNI (GULUBWIDA MTI MWEUPE)
Km 2 kutoka Baharini
Km 1 kutoka main road
Mita moja ya mraba
Cash&mkopo ni sh 23,000
Viwanja vya makazi ( Residential)
Mita moja ya mraba kwa sh 25000
Viwanja vya makazi biashara ( CR/ Commercial Residential)
Malipo kwa kidogo kidogo ndani ya miezi 18 โจUwekezaji salama uanza na ardhi
๐ Makumbusho, Derm Plaza โ 11th Floor ๐+255 748 303 601
#HatiMiliki
#ArdhiNiMali
#BuildYourFuture
#TrustSolution
#TanzaniaInvestment
#RealEstateTanzania


















