Viwanja vinauzwa Tabata, Dar Es Salaam


NUNUA KIWANJA, JENGA & UISHI Katika MRADI wa TABATA KINYEREZI na chapchappointltd.
✨Mradi upo karibu kabisa na standi ya daladala Tabata Kinyerezi.
✨Ni Mita 500 tu kutoka barabara kuu hadi site
✨Mradi umezungukwa na
* Huduma zote muhimu za kijamii kama vile maji, umeme, maduka ya vifaa vya ujenzi na matumizi ya nyumbani, huduma zakidini(makanisa na misikiti), hospitali pamoja na shule.
* Vituo vya michezo hasa kwa watoto
* Majirani waliojenga kisasa zaidi
✅ Vimebakia viwanja VITANO(5) tu vyenye ukubwa kuanzia mita za mraba-Sqm 600 hadi 1000
✅ BEI:65,000/= @ sqm (bei hii imejumuisha gharama za hati)
•Pia Malipo ya awali ni 30% ya gharama jumla ya kiwanja na kiasi kinachobakia utalipia ndani ya miezi sita.
MFANO:
•Kiwanja chenye Ukubwa wa Sqm 616 * 65,000 =40,040,000/=. Tu
✨PIA, Tunatoa huduma ya Upimaji wa maeneo na Kufatilia Hati Miliki Kutoka Wizara ya Ardhi kwa gharama nafuu.
☎️ Wasiliana nasi kupitia namba: |+255 744 006 001|. |0777 403199|.
📍Ofisi zetu zinapatikana: Posta, Pamba House ghorofa ya Pili (2nd Floor).
CCPL 🔥EXPERT BETTER PROPERTY WITH US 🔥
#ccplviwanja#surveyedplot#gobacenternaccpl#ccplsurveyedplot#chapchappointrealestate#ccplaffordableplotinvestment#viwanjagoba#upimajinaramani#pimakiwanjanachapchap#wekezakatikaardhisalama#chapchaprealestateservice#chapchapviwanjakigamboni#chapchapviwanjamadale#chapchapviwanjakibaha#hati#titledeed#surveywithchapchap#surveyedplotservicesccpl.