Viwanja vinauzwa Tumbi, Pwani
Mambo vipi ndugu mwekezaji,natoa Fursa ya mteja kulipia Viwanja vinavyoonekama katika hii ramani Kwa Mkataba wa Miezi 24.
Bei Kwa square ni shilingi 10,000/=
Kila Kiwanja kinahitaji malipo ya Awali kiasi cha shilingi 1,000,000/= tu.
Kisha kusaini Mkataba wa Miaka miwili au miezi 24 Kwa ajili ya kukamilisha malipo yaliyobaki.
Hii ni Fursa kwako ndugu Mtanzania Mwenzangu kumiliki Viwanja Vilivyopimwa,unalipa kidogo kidogo ndani ya miezi 24.
SIFA za Eneo
Limezungukqa na barabara pande zote,yaani Kila ubavu Kuna Barabara,manake Kila Kiwanja kinafaa Kwa matumizi ya Biashara,barabara zina ukubwa wa mita kumi( 10) Kila upande.... Manake parking IPO y kutosha!
Hapa ni km4 Toka Tumbi Hospital.
Maji yapo,umeme upo!
Eneo lote Lima Jumla ya 10,285m²
Hapa site Kuna Barabara kubwa ambayo inaungama na Kiluvya,nyingine inatokea Kibaha Mwanalugali via Tanesco.
Kwa mteja aliye serious peke yake! Wasiliana na Mimi Kwa simu namba
0659 972 868
0759 461 893