Viwanja vinauzwa Ubungo, Dar Es Salaam


Plot For Sale; Ipo Maeneo Ya Ubungo River side🌴
Specifications:
• Plot ipo umbali wa dk 10 upo Lami📍
• Plot inatizama Barabara ya mtaa
• Accessibility ya kufika barabani ni nzuri
• Neighborhood ni nzuri haina uswahil
• Plot ina ukubwa wa square meter 360✅
• Bei Ya Plot ni million 38💸💵 , Kiwanja kina Full Document
hakina Mgogoro
• Offer 🔥🔥 Tunakuchorea Ramani Bure na kutoa Ushauri
• Service Fee ya Kuona Viwanja ni 50k (inalipwa mara moja
hadi upate kiwanja)
Contact:
#0744701813. Normal/Whatsapp📲