Viwanja vinauzwa Vikindu, Pwani
KARIBU SANA!
Unahitaji kumiliki kiwanja kikubwa chenye Hati za Wizara ya Ardhi?...Kwa KISEMVULE.
Huu ndio mradi pekee wenye viwanja Vikubwa, vilivyopimwa, na vilivyorasimishwa na Wizara ya ardhi(serikali) katika eneo lote la Kisemvule na Vikindu.
Kwa nini unatakiwa kujipatia viwanja hivi na kuachana na viwanja vidogo visivyopimwa?
Soma hapa chini👇
SIFA ZA VIWANJA
●Vipo km 6 tu kutokea stendi
●Ni viwanja tambarare sana
●Vina hati miliki safi
●Huduma zipo jirani
● Ni viwanja vikubwa sana
Endelea👇
🎯UNAHITAJI KUJUA UKUBWA NA BEI?
Bei za viwanja hivi ni Elfu 10,000/= tu kwa SQM 1
Hivyo mchanganuo wake uko hivi
SQM 300 = TSH. 3,000,000/=
SQM 400 = TSH. 4,000,000/=
SQM 500 = TSH. 5,000,000/=
NA KUENDELEA
JE UNAHITAJI KUFAHAMU ULIPAJI WAKE..?
Usijali utaruhusiwa kulipa kwa awamu kama kiasi chako ni pungufu...
Yaani utalipia NUSU YA PESA na kinachobakia utapewa ulipe kidogokidogo kwa MIEZI SITA BILA RIBA/DHAMANA.
TUPIGIE SIMU
0747141871
📜UNAHITAJI UONE RAMANI YA MRADI..⁉️
Tutumie Ujumbe WhatsApp
Kwa +255747141871
Kuona mpangilio wa viwanja
#Hatimiliki #homedecor #viwanjadar #viwanjavikindu #viwanjadodoma #wekezasasa #makazi #mjini #ardhimali #ardhirasilimalitoshakujikwamuakiuchumi #mashambabagamoyo