Viwanja vinauzwa Wazo, Dar Es Salaam


⚡️KARIBU ULTIMATE ESTATE LTD KWA MIRADI ILIYOBORA YA VIWANJA NA MASHAMBA⚡️
TUPIGIE SIMU NAMBA 0629879799
🌍TEGETA WAZO BWAWANI
✍️NI KILOMETA 1.5 KUTOKA NJIA KUU YA LAMI YA WAZO
✍️BEI NI 40,000/= KWA SQM 1 KWA MALIPO YA CASH NA 45,000/= KWA SQM 1 MALIPO YA INSTALLMENT.
✍️VIWANJA VIMEPIMWA KUANZIA SQM 500 NAKUENDELEA.
✍️MRADI WETU NI MZURI KWA MAKAZI NA BIASHARA PIA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIMEFIKA MAJI,UMEME,SHULE.BARABARA NK.
✍️KUTEMBELEA MIRADI YETU NI BURE HAKUNA GHARAMA PIA NI SIKU YOYOTE.
✍️OFISI ZETU ZIPO VARSANI PLAZA OPPOSITE NA AZAM TV
✍️KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE SIMU NAMBA ☎️0629879799