Apartment ya chumba kimoja inapangishwa KIBAMBA SHULE, Dar Es Salaam







Aina
Apartment
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
1.3km
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT INAPANGISHWA
Location
KIBAMBA SHULE
Chumba cha kulala (master bedroom)
Sebule kubwa sana
Jiko kubwa lenye makabati
Kodi 250,000 kwa mwezi × 6 + mwezi mmoja wa tahadhari
Umbali KM 1.3 Usafiri bodaboda 1000
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
Contact 📲
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747















