Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 150,000 per month

Aina

Apartment

Vyumba

1

Huduma na Sifa

Tiles
Gypsum
Luku ya Ku-share
Maji
Parking Space
Karibu na Stendi ya Mabasi

Maelezo

HAYA WALE WANAOPENDA KARIBU NA MWENDOKASI HII YAPA DK 3 TU

#HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI

#MASTE BERD ROOM KUBWA SANA
#CHUMBA CHENYE CHOO NDANI

#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA
#LUKU 2 SUBMITER
MAJI DAWASA NDANI

NYUMBA HAZINA FENSI ILA USALAMA WA KUTOSHA PARKING KUBWA SANA

BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUZA MIEZI PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI

LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI