Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Stop Over, Dar Es Salaam







Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam
1 month ago
Sh. 300,000 per month
Aina
Apartment
Vyumba
1
Bafu
1
Huduma na Sifa
Umeme
Maji
Sebule
Jiko
Luku Inajitegemea
Maelezo
0679 997610
Mzigo huo hapo utakua wazi mwisho wa mwezi wa tatu chumba sebule jiko choo nyumba kali sana ipo kimala stop ovar umeme wako maji yana tililika ndan bei 300,000 x6 kama unamteja atalipa nakusubilia sawa
CALLL
0679 997610
0747997630
Msigwa
