Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam







Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam
23 days ago
Sh. 160,000 per month
Aina
Apartment
Vyumba
1
Bafu
1
Barabara ya Karibu
1.3km — Temboni
Huduma na Sifa
Sebule
Maji
Umeme
Ndani ya Compound
Maelezo
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
Chumba master bedroom kubwa na sebule kubwa
Kodi: 160,000 kwa mwezi × 4
Apartment zipo 4 tu kwenye eneo moja,umeme Matumiz yako na maji yanaflow chooni
Umbali KM 1.3 tu kutoka Temboni bajaji 500 bodaboda 1000
Kupelekwa kuona nyumba 20,000
PIGA SIMU 0789049684
