Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo kibo, Dar Es Salaam







Ubungo, Ubungo, Dar Es Salaam
4 days ago
Sh. 400,000 per month
Aina
Apartment
Vyumba
1
Huduma na Sifa
Parking Space
AirBnb
Air Conditioning
Intaneti
Full A C
Free Wi- Fi
Maelezo
APARTMENT MPYA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA. Ipo Ubungo kibo dakika 6 kwamguu kutoka stend ya mwendokasi. Ni chumba kimoja master na sebure na jiko. Full AC na Free Wi-Fi. Parking ipo na Barabara ni nzuri kwa aina zote za magari. Kodi Tsh. 400,000 kwa mwezi. Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali.
Kuona nyumba elfu 20
Utamlipa Dalali kodi yamwezi mmoja ukilipia nyumba
Call
0713 320 608
0686 334 182
