Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Bucha, Dar Es Salaam







Aina
Nyumba
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
1km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
MASTER BEDROOM FOR RENT
Location
KIMARA BUCHA
Umbali wa km 1 kutoka stand ya mwendo kasi Bucha; kwa mguu ni dakika 15 tu, usafiri wa bodaboda ni Tsh 1,000 hadi getini.
#SIFA ZA NYUMBA
🔹 Chumba kimoja (Master).
🔹 Sebule kubwa sana.
🔹Umeme & Maji (Submeter yake binafsi)
🔹 Maji yanapatikana ndani masaa 24/7.
🔹 Fenced & Parking kubwa sana.
NOTE
kitakuwa wazi tarehe 20/04/2026. kuja kuona na kufanya malipo yanapokelewa luksa kabisa booking inarusiwa.
GHARAMA
🔸 Kodi: Tsh 220,000 × 6 (miezi sita)
🔸 Dalali: Tsh 220,000
🔸 Service Charge: Tsh 15000
Contact 📲
0715949085















