Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam







Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam
1 month ago
Sh. 120,000 per month
Aina
Nyumba
Vyumba
1
Bafu
1
Barabara ya Karibu
1.5km — Stand Kimara mwisho
Huduma na Sifa
Maji
Umeme
Balcony
Luku Inajitegemea
Karibu na Stendi ya Mabasi
Mpya
Maelezo
MASTER BEDROOM KUBWAAA MPYAAA INAPANGISHWA KIMARA MWISHO KODI NI 120,000X"6"
#Chumba cha kulala
#Kikubwa choo ndani
#Na kibalaza chako nje
#Maji yana flow chooni
#Umeme submeter yako
Kodi ni:120,000 Kwa mwezi x" 6"
Umbali Kilometa1.5 kutoka Stand Kimara mwisho
Usafiri Upo wa bajaji dalala shilingi 700/= Tuu.
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15,000/=
itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
Contact Us:0712656027
What'sApp:0712656027
