Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam







Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam
21 days ago
Sh. 200,000 per month
Aina
Nyumba
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
1.5km
Huduma na Sifa
Maji
Mita ya Maji Inajitegemea
Umeme
Luku Inajitegemea
Uzio
(Fence) Ukuta
Maelezo
# INAPANGISHWA(200K X 05/06)
------------------------------
📌KIMARA MWISHO (Dsm) 🇹🇿
Umbali: Km 1 .5 KM BAJAJI 700/=
BODA ELF 1
_________________________
MUUNDO ÷
✔️ Master Kubwa Sana
✔️Sebule kubwa
✔️Jiko ZURI kubwa
✔️Fensi Za Juu
✔️Mazingira TULIVU Sana
__________
HUDUMA ÷
✔️Maji (yapo Dawasa) MITA YAKO
✔️LUKU #MITA YAKO
📌 MAZINGIRA TULIVU SANA NDANI YA FENSI
PARKING IPO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI; 200,000/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 05/06+ Mwezi 1 wa dalali
________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh.20,000/=
NAMALIZA
