Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 180,000 per month

Aina

Nyumba

Vyumba

1

Maelezo

0679 997610
🇹🇿 MASTER BED ROOM YA KISASA – KIMARA MWISHO

📍 Eneo: Kimara Mwisho
🕓 Umbali: Km 1 kutoka stendi ya mwendo kasi. Usafiri wa bodaboda Tsh 1,000 tu, au dakika 12 kwa miguu. Pia unaweza kupita kupitia Kimara Korogwe.

🏠 SIFA ZA NYUMBA:

🔹 Chumba kimoja (Master Bedroom) kikubwa sana
🔹 Jiko zuri na la kisasa
🔹 Umeme & Maji (Submeter yake binafsi)
🔹 Maji yanapatikana masaa 24/7
🔹 Fensi hamna & Parking kubwa na salama

👉 Chumba kitakuwa wazi tarehe 10/03/2026. Unaweza kuja kuangalia ndani na kufanya malipo luksa kabisa. Booking inaruhusiwa hata kwa mwezi mmoja.

💰 GHARAMA:
🔸 Kodi: Tsh 180,000 × 6 (Miezi sita)

Dalali mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba