Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
Sh. 170,000

Aina

Nyumba

Vyumba

1

Maelezo

Nyumba nzuri yakupangisha

Location: ubungo Riverside

Umbali dakika 4

Sifa zake :-
Chumba kimoja master Bedroom

- dipoziti laki
Maji na usafi kwa mwezi 15,000/= x6
90,000/=

Umeme wawili inajitegemea na Maji DAWASA Yanaflow Ndani
Apartment zipo nne Ndani ya fence Parking Ipo

Kodi 170,000/= ×6

Service Charge 15,000/=

Kwa maelezo zaidi piga :-

0712528820
0685221354

Mr.