Tafuta

Nyumba ya vyumba 19 inauzwa Magomeni Kagera, Dar Es Salaam (400 sqm)

video thumbnail
Sh. 110,000,000

Maelezo

INAUZWA: VYUMBA 19, TZS.110 MILIONI,
MAGOMENI-KAGERA.

Kiwanja SQM.400
Umiliki ni Leseni ya Makazi

Hapa ni jirani na OILCOM

MUWEKEZAJI WAHI.
HAPA UTAOKOTA PESA HIVYOHIVYO ILIVYO NA PANAFAA KUWEKEZA KISASA PIA.

__________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

__________________ryt