Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mikocheni, Dar Es Salaam







Aina
Apartment
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
10km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
——
APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA BADO FINISHING NDOGO NDOGO KUMALIZIWA DK 10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI.
---
Vyumba 2 vya kulala kimoja
master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
-----
Service charge 20,000/=
Kodi 400,000X10
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja tu
###0655256419
###0688617926















