Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata Kinyerezi Mwisho, Dar Es Salaam




Aina
Apartment
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
3m
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba nzuri sana inapangishwa bei 300000 kwa mwezi kodi kianzia miezi 6, ina vyumba 2 vya kulala chumba kimojawapo self contained, sebule, dining room, jiko, public toilet, umeme na maji unajitegemea, parking bubwa, reserve water tank, hii apartment ni nyumba ya 3 kutoka barabara ya lami, Location tabata kinyerezi mwisho dar es salaam
Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641
Service survey charge tsh 20000
Au malipo ya dalali endapo ulipapo apartment hii















