Tafuta

Apartment ya vyumba viwili inauzwa Fani City, Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 90,000,000

Maelezo

🏡 APARTMENT ZINAUZWA – KIGAMBONI, FANI CITY

Fursa nzuri ya uwekezaji yenye kipato kinachoingia tayari!

📍 Mahali: Fani City, Kigamboni

Sifa za nyumba:
✅ Apartment 2, kila moja ikiwa na:

* Vyumba 2 vya kulala
* Sebule
* Jiko

✅ Pia kuna frame ya biashara nje yenye mpangaji.

💰 Uwekezaji tayari unaingiza kipato:

* Apartment zote mbili zina wapangaji.
* Frame ya biashara pia ina mpangaji.

Huduma na mazingira:
✔️ Kisima cha maji
✔️ Paving nzuri
✔️ Mazingira safi na tulivu

Umbali:
📍 Km 1 kutoka barabara kuu ya lami
📍 Km 12 kutoka Ferry
📍 Km 10 kutoka Daraja la Nyerere

💵 Bei: Milioni 90 tu (mazungumzo kidogo yapo).

📞 0769554221
📍Service Charge 30,000

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio

Matangazo mengine Kigamboni, Dar Es Salaam

Apartments zinauzwa Kigamboni Kibada Mwera, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 150,000,000

For Sale5 beds500 sqmapartment