Tafuta

Apartment ya vyumba viwili inauzwa Kijichi Nssf, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 350,000,000

Maelezo

🏒 APARTMENT ZA BIASHARA ZINAUZWA – KIJICHI NSSF

Fursa adimu ya kuwekeza kwenye nyumba za kupangisha katika eneo linalokua kwa kasi!

πŸ“ Mahali:

Kijichi NSSF
βœ…approved plot

🏠 Sifa za Apartment:

* Kila apartment ina:
* Vyumba 2
* Chumba 1 cha Master
* Sebule
* Jikoni
* Kila apartment inajitegemea kabisa na ina geti lake.

πŸ’° Bei:

TZS Milioni 350 (Mazungumzo yapo.)

πŸ“ Umbali:

* Kilomita 1 kutoka barabara ya lami
* Kilomita 9 kutoka Kariakoo
* Kilomita 8 kutoka Kivukoni
* Kilomita 4 kutoka Bagamoyo Road

🌟 Kwa Nini Ununue?

βœ… Eneo zuri kwa uwekezaji wa nyumba za kupangisha
βœ… Linatoa fursa nzuri ya mapato ya kila mwezi
βœ… Mazingira mazuri kwa biashara na makazi

πŸ“ž 0769554221
πŸ“Service Charge 30,000

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio

Matangazo mengine Kijichi, Dar Es Salaam