Tafuta

Apartment ya vyumba viwili inauzwa Madale Atlas, Dar Es Salaam (420 sqm)

video thumbnail
Sh. 270,000,000

Huduma na Sifa

Hati
Karibu na Barabara ya Lami

Maelezo

Apartments Za Kisasa Zinauzwa
Mahali: Madale Atlas

Bei: Milioni 270

☑️Ukubwa: Sqm420
☑️Umiliki: Hati Imenyooka
☑️Zipo 3, Vyumba 2 Zipo 2 Zinapangishwa 400k
Chumba Sebule Jiko Ni Moja Inapangishwa 250
☑️Zote Zina Wapangaji Kwa Sasa
☑️Umbali: Mita 200 Kutoka Lami
☑️Ni Uwekezaji Mzuri Sana Karibuni

Gharama Ya Kuoneshwa Ni 50,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)

Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988 / 0622651649

Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏

#MasterMijengo #DalaliMasterTz