Tafuta

Apartment ya vyumba viwili inauzwa Mgindoni Kisota, Dar Es Salaam (500 sqm)

video thumbnail
Sh. 160,000,000

Maelezo

🏢 APARTMENT ZA BIASHARA ZINAUZWA – KIGAMBONI, MGINDONI KISOTA

Unatafuta fursa ya uwekezaji yenye kipato cha uhakika? Hizi apartment ni chaguo sahihi kwa ajili ya kuanza au kupanua biashara yako ya upangishaji.

Sifa za Apartment:

✅ Apartment 2 zilizokamilika.
✅ Kila apartment ina vyumba 2 vya kulala, sebule na jiko.
✅ Zimejengwa kwenye eneo la SQM 500.
✅ Eneo limepimwa na lina Hati ya Wizara.
✅ Meta 600 tu kutoka barabara kuu.
✅ Kilomita 10 kutoka Feri ya Kigamboni.
✅ Kilomita 10 kutoka Daraja la Nyerere.

Faida za Uwekezaji:

✔️ Zipo katika eneo linalokua kwa kasi.
✔️ Zinatoa fursa nzuri ya kipato kupitia upangishaji.
✔️ Mazingira ni tulivu na yanavutia kwa wapangaji.

💰 Bei: TZS Milioni 160 tu.
🤝 Maongezi kidogo yapo kwa mnunuzi mwenye nia ya kweli.

📞 +255-769554221

#trendingvideo #istagram #realestatemarket #tanzania #trendingpage

Matangazo mengine Kisota, Dar es Salaam

Apartment ya vyumba viwili inauzwa Kisota, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

For Sale2 bedsapartment
Apartment ya vyumba viwili inauzwa Kisota, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 160,000,000

For Sale2 beds600 sqmapartment
Apartment ya vyumba viwili inauzwa Kisota, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 160,000,000

For Sale2 beds600 sqmapartment
Apartment ya vyumba vitatu inauzwa Kisota, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

For Sale3 bedsapartment
Apartment ya vyumba viwili inauzwa Kisota, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 350,000,000

For Sale2 beds600 sqmapartment
Apartment ya vyumba viwili inauzwa Kisota, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 350,000,000

For Sale2 beds600 sqmapartment
Apartment ya vyumba viwili inauzwa Kisota, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 350,000,000

For Sale2 beds600 sqmapartment
Apartment ya vyumba viwili inauzwa Kisota, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 350,000,000

For Sale2 beds2 baths600 sqmapartment
Apartment ya vyumba viwili inauzwa Kisota, Dar Es Salaam (300 sqm)

Sh. 200,000,000

For Sale2 beds300 sqmapartment