Tafuta

Apartment ya vyumba viwili inauzwa Sinza, Dar Es Salaam (288 sqm)

video thumbnail
Sh. 600,000,000

Maelezo

Apartments Nzuri Zinauzwa
Mahali: Sinza

Bei: Milioni 600

☑️Eneo: Sqm288
☑️Umiliki: Hati✅
☑️Sifa: Zipo 4, Kila Moja Ni Vyumba 2, Kila Mpangaji Analipa Milioni 1 Kwa Mwezi
☑️Mtaa Wa Kishua, Na Karibu Sana Na Lami

Ofisini: Sinza Palestina (Kwa Babu Sea)

Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate.

Call & Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988, 0622651649, 0650659988

Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏

#MasterRealEstate #MasterMijengo #DalaliMasterTz #WhereLuxuryMeetsLifestyle

Matangazo yanayofanana Sinza, Dar Es Salaam

Apartment ya vyumba viwili inauzwa Sinza, Dar Es Salaam (288 sqm)

Sh. 600,000,000

For Sale2 beds288 sqmapartment
  • Hati

  • Karibu na Barabara ya Lami

Apartment inauzwa Sinza Mori, Dar Es Salaam (288 sqm)

Sh. 170,000,000

For Sale288 sqmapartment
  • Hati