Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 800,000

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Maelezo

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI

<> location kisiwani

<> nyumba Ina vyumba viwili kimoja master sebule dining na jiko full ac mpya

✅nyumba iko fenced
✅nyumba Ina parking
✅nyumba Ina electric ⚡️
✅nyumba iko karibu na barabara
✅nyumba Ina mazingira mazuri
✅nyumba mpya na ya kisasa

<> asking price tsh,, 800k per month
mwezi moja wa dalali kisiwani

<> services charge 20k zingatia utalatibu

◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837

Tafuta unachotaka Kigamboni, Kigamboni, Dar Es Salaam