Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kibugumo, Mji Mwema, Dar Es Salaam (800 sqm)
Aina
Nyumba
Vyumba
2
Ukubwa
800 SQM
Barabara ya Karibu
500m
Maelezo
🏡 NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI MJI MWEMA (KIBUGUMO), DAR ES SALAAM
Unatafuta nyumba nzuri yenye eneo kubwa kwa ajili ya kuishi au uwekezaji? Hii ni fursa yako!
📍 Mahali: Kigamboni Mji Mwema – Kibugumo
📏 Ukubwa wa kiwanja: Sqm 800
💰 Bei: TSh Milioni 88 (Mazungumzo kidogo yapo)
Sifa za nyumba:
🏠 Vyumba 2 vya kulala
✨ Imejengwa kwa kiwango cha kisasa (standard)
✅ Dari za Gypsum
✅ Madirisha ya Aluminium
⚡ Umeme umefika
💧 Maji yapo pamoja na kisima cha maji
🚪 Ina geti tayari
🛣️ Inagusa barabara ya mtaa
📍 Umbali wa mita 500 tu kutoka barabara ya lami.
Faida ya ziada:
🌟 Eneo ni kubwa kiasi kwamba unaweza kujenga nyumba nyingine kubwa au hata ghorofa ya hadi vyumba sita kwa ajili ya uwekezaji wa kupangisha.
📞 Wasiliana nasi leo kupanga kutembelea nyumba hii.
💼 Service Charge: TSh 30,000
📸 Instagram: dalali_kigamboni_plots_forsale
#Kigamboni #MjiMwema #Kibugumo #NyumbaInauzwa #DalaliKigamboni DalaliDarEsSalaam DalaliNyumbaViwanja RealEstateApartment CreatorSearchInsights DarEsSalaam Investment















