Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kijichi - Miande, Dar Es Salaam (1.5 acre)
Maelezo
🏤NYUMBA YA KISASA INAUZWA
Mahali: Kijichi - Miande
Ukubwa wa eneo: Heka moja na nusu
🧾Hati: Hati ya Wizara (clean & ready transfer)
Sifa za Nyumba Kuu:
Vyumba 2 vya kulala (kimoja self contained)
Sebule kubwa na yenye mwanga wa kutosha
Dining area
Jiko la kisasa lenye makabati
Public toilet
Nyongeza (Servant Quarter):
Chumba kimoja cha nje na kina choo chake
Public toilet
Chumba cha kufulia (Laundry)
Eneo ni tulivu, salama na linafikika kwa urahisi - linafaa kwa makazi ya familia au uwekezaji wa thamani.
💰Bei: Bilioni 2.5 TZS (maongezi ......yapo sana)
Usikose fursa hii ya kumiliki nyumba ya ndoto zako Kijichii!
KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE ☎️📲📞 0753999903















