Tafuta

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kiluvya Kwa Komba, Pwani (450 sqm)

video thumbnail
Kiluvya, Pwani
24 days ago
Sh. 60,000,000

Huduma na Sifa

Umeme
Maji
Karibu na Barabara ya Lami

Maelezo

NYUMBA INAUZWA KILUVYA KWA KOMBA DSM

Vyumba 2 vya kulala vyote master bedrooms sebule dinning jiko na public toilet

Eneo sqm 450

Bei Mil. 60 maongezi kidogo

Nyumba imekamilika niyakuhamia,umeme na maji vipo

Umbali mita 600 toka lami

Kupelekwa kuona nyumba 25,000/=

0679447338
0753454167