Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kwarara Madina, Zanzibar - Unguja North









Aina
Nyumba
Vyumba
2
Bafu
2
Barabara ya Karibu
600m
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA INAUZWA KWARARA MADINA
#unguja #zanzibar
Umbali kutoka nyumba ilipo mpaka Barabarani Mita 600
Umbali kutoka nyumba ilipo mpaka Barabarani Kisauni Mkunazi Samaki 1.5Km
Vyumba 2 (Master 1)
Sebule
Stoo na Jiko
Public Toilet
Njia Pande 4
Maji
Umeme
Ukubwa wa Kiwanja Futi 27x25 (Ni futi sio Mita 🫣 kweli hakuna Kiwanja kidogo 🫠)
Bei Tsh 25 Milioni ishirini na tano
What’s App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake















