Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mabwepande, Dar Es Salaam (427 sqm)

Mabwepande, Dar Es Salaam
5 hours ago
Sh. 168,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT FOR SALE
MABWEPANDE POLICE
NYUMBA ZIPO MBILI
Zenye vyumba 2 sebule jiko choo( kimoja mastar )na publick toilet
Maji umeme zina jitegemea
Nyumba ni mpya hazija wahi kupangishwa
Makadirio ya kodi ni 450k kwamwezi
Kwa sasa zina uzwa ukubwa wa kiwanja
Sqm 427 PAMEPIMWA na pana hati safi
Bei milion 168 maongezi kidogo
KWA MAELEKWZO ZAIDI PIGA SIM
0682 402 327 📶
0653 267 999 📶 ya WHATSSAP
