Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi Maramba, Dar Es Salaam






Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 HOUSE FOR SALE – MBEZI MARAMBA 🏡
✨ Unatafuta nyumba nzuri ya kisasa kwa bei nafuu? Hii ndiyo fursa yako!
📍 Location: Mbezi Maramba
⛪ Kutoka Maramba Kanisani hadi kwenye nyumba ni takribani dakika 15.
🏠 Sifa za Nyumba:
✅ Vyumba 2 vya kulala (Kimoja Master Bedroom)
✅ Sebule nzuri na yenye nafasi
✅ Jiko la kisasa
✅ Public Toilet
✅ Full AC
✅ Tiles za kisasa
✅ Gypsum Ceiling
✅ Sliding Windows
📐 Ukubwa wa Eneo: 15 × 20
💰 Bei: TZS Milioni 38 (Mazungumzo yapo kidogo.)
🚗 Gharama ya Kupelekwa Site: TZS 50,000
📞 Kwa maelezo zaidi na kupanga kwenda kuiona nyumba, wasiliana nasi moja kwa moja.
🔥 Usikose nafasi hii ya kumiliki nyumba yako mwenyewe!
#NyumbaInauzwa #MbeziMaramba #DarEsSalaam #HouseForSale #RealEstateTanzania #NyumbaBora #PropertyForSale #DreamHome #InvestInProperty #HomeDeals #NyumbaZaKisasa #AgentMedie #HomeqltsRealEstate
Mawasiliano
WSP















