Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam







Goba, Ubungo, Dar Es Salaam
5 months ago
Sh. 500,000 per month
Aina
Nyumba
Vyumba
2
Maelezo
500,000 kwa mwezi
Apartment inapangishwa
Mpo wawili tuu kwenye compound
Goba kwa Robert
Vyumba viwili kimoja master
Sebule kubwa
Jiko Lina makabati
Public toilet
Parking space kubwa sana
